Christian Bella Afunguka "Hakuna Msanii Bongo Anayefanya Show Nyingi Zaidi Yangu" Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Christian Bella Afunguka "Hakuna Msanii Bongo Anayefanya Show Nyingi Zaidi Yangu" Ipo Hapa

Bet Sasa
Mfalme wa masauti, Christian Bella aka Obama amejigamba kuwa hakuna msanii hapa Tanzania anayefanya show nyingi kuliko yeye.
IMG_0381
Bella ameiambia Bongo5 kuwa kama akiamua kufuata mahitaji ya watu wanaomwitaji hawezi kupata muda wa kupunzika.
“Unajua nyimbo zangu zimefanya watu wanihitaji sana,” amesema muimbaji huyo.
“Hakuna msanii anayefanya show nyingi hapa Bongo kunizidi mimi. Yaani napigiwa simu na mapromoter wengi sana wananitaka lakini zingine naziacha. Show ni nyingi sana, ukizifuatilia hautapata hata muda wa kupumzisha mwili na kupanga mikakati ya kazi mpya.”

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.