China Yaipiku Marekani Kwa Matajiri - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

China Yaipiku Marekani Kwa Matajiri

Tajiri nambari moja duniani, mwasisi wa Microsoft Bill Gates
Tajiri nambari moja duniani, mwasisi wa Microsoft Bill Gates
Mabilionea wa China wamewazidi wale wa Marekani kwa mara ya kwanza katika hatua kubwa kama taifa la kijamaa likipiga hatua nyingine na kuwa kubwa duniani.
China kwa sasa inajisifu kuwa na mabilionea 596 – wakiwa 60 zaidi ya Marekani – baada ya Wachina 242 kuwa mabilionea kwa mara ya kwanza ndani ya mwaka, kwa mujibu wa utafiti mpya.
Wang Jianlin, mwenyekiti na rais wa Dalian Wanda Group
Wang Jianlin, mwenyekiti na rais wa Dalian Wanda Group
Lakini wakati Wachina wakiwa mabilionea wengi, lakini wale wa Marekani ni matajiri zaidi.
Marekani bado inaendelea kutawala katika orodha ya watu matajiri duniani huku Wamarekani wakiwa saba ndani ya 10. Hakuna hata Mchina mmoja aliyeingia katika orodha hiyo.
Mtu tajiri duniani ni mwasisi wa Microsoft Bill Gates – hadhi aliyokuwa nayo kwa miaka 16 katika miaka 21 iliyopita.
ORODHA YA MATAJIRI 10 DUNIANI
1. Bill Gates $79.2 Microsoft United States
2.Carlos Slim Helu $77.1 Telecom Mexico
3.Warren Buffett $72.7 Berkshire Hathaway United States
4. Amancio Ortega $64.5 Zara Spain
5. Larry Ellison $54.3 Oracle United States
6. Charles Koch $42.9 diversified United States
7. David Koch $42.9 diversified United States
8. Christy Walton $41.7 Wal-Mart United States
9. Jim Walton $40.6 Wal-Mart United States
10. Liliane Bettencourt $40.1 L’Oreal France
Chanzo: Forbes The World’s Billionaires List

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.