Wema Sepetu na Zawadi Kutoka kwa Dimpoz - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wema Sepetu na Zawadi Kutoka kwa Dimpoz

Haya ndiyo maneno aliyoandika staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wake wa Instagram baada ya kupewa zawadi ya simu na msanii mwenzake, Ommy Dimpoz: “Akhsante bwana Omary Nyembo a.k.a Dimpoz kwa poz kwa zawadi ya simu toka US japo imenitoa ushamba hahahahahaha!”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.