Watu Kelele Fisadi Fisadi Richmond Richmond. Ninajiuliza Kwani Kazi ya TAKUKURU au PCCB ni Nini? Mbona Hakamatwi - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Watu Kelele Fisadi Fisadi Richmond Richmond. Ninajiuliza Kwani Kazi ya TAKUKURU au PCCB ni Nini? Mbona Hakamatwi

Fisadi
Watu kelele fisadi fisadi Richmond Richmond. Ninajiuliza kwani kazi ya TAKUKURU au PCCB ni nini? Nilidhani baada ya ripoti ya Mwakyembe hawa PCCB wangeifanyia kazi kuweza kufungua mashtaka. Kama chombo kama hiki akijaona umuhimu huo ufisadi ni upi? Serikali ni ile ile ya awamu ya nne na bado ina muda wa kuhakikisha wanatumia chombo chao PCCB kupata ukweli wa Richmond mbona nayo imekaa kimya? au inaamini hakukuwepo na wizi wa kodi za wananchi? Watanzania tusichanganywe na vitu visivyo na ushahidi wa kutosha au ushahidi butu. Nadhani neno ufisadi au Richmond ni lugha ya kampeni kama ilivyokuwa "Maisha bora kwa kila Mtanzania". Achana nao wanaosema ni fisadi sikiliza Sera chagua kiongozi anayekufa. 
##‪#‎Kiona‬ Mbali***

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.