Video: August Alsina Akosolewa Kwa Kitendo Cha Kumpapasa ‘Matiti’ Shabiki Wa Kike Jukwaani, Jionee Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: August Alsina Akosolewa Kwa Kitendo Cha Kumpapasa ‘Matiti’ Shabiki Wa Kike Jukwaani, Jionee Hapa

Mwimbaji wa R&B wa Marekani, August Alsina amekosolewa na mashabiki wengi kwa kitendo cha kumpapasa matiti shabiki wa kike jukwaani mbele ya umati mkubwa tena bila ridhaa yake.
august-alsina-grabs-breast-fan
Weekend iliyopita Ijumaa ya Sept.25, Alsina alitumbuiza kwenye tamasha la Freebandz Music Fest huko Baton Rouge. Akiwa jukwaani alimuita shabiki wa kike na kuendelea kufanya show huku akiwa nae.
Akiwa anaendelea kuimba huku shabiki huyo amekaa kwenye kiti, star huyo alianza kumpapasa kifuani na mkono wake wa kushoto huku wa kulia ukiwa umeshika mic. Shabiki huyo alionekana kuwa ‘uncomfortable’ na kuanza kuuzuia mkono wa Alsina uliokuwa ukijaribu kupapasa matiti ya shabiki huyo.
Mashabiki wengi kwenye mitandao ya kijamii wamemshambulia August Alsina kwa kitendo hicho na kudai kuwa ni udhalilishaji.
Hizi ni baadhi ya tweets za watu kuhusu tukio hilo;
@tatichin – “That August Alsina video makes me feel uncomfortable. EYE wasn’t even there. You know you can like some1 and still not consent to touching?”
@GuyNamedTawanda – “August Alsina living his dream, and his dream is sexual harassment.”
@SoloExMachina – “That August Alsina video make me uncomfortable.”
@Buppylady – “She looked uncomfortable.”.

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.