Utata Mwanaume Aliyemvalisha Pete Jack Wolper, Picha Yavuja Mitandaoni Akiwa na Mkewe wa Ndoa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Utata Mwanaume Aliyemvalisha Pete Jack Wolper, Picha Yavuja Mitandaoni Akiwa na Mkewe wa Ndoa

Juzi mitandaoni habari iliyo make headline sana kwa upande wa wasanii ilikuwa ni habari ya Mwigizaji Jack Wolper kuvishwa pete ya uchumba.. Sasa jana Watu wameibua jipya huku instagram imetapakaa picha ikimuonyesha mwanaume aliyemvisha pete Jack Akiwa na Mkewe ikimaanisha tayari ana ndoa ..
Kitu ambacho wengi hatujaelewa na wengine wakisema labda ile ya Jack akivishwa pete ni. Movie mpya..
Picha hii hapa chini!
Je huyu wanaume alikuwa ameachana na huyu mwanamke wake kabla ya kuwa na Wolper ? 

By_ UdakuSpecially

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.