TUSKER FANYAKWELI KIWANJANI YAWAKUNA WAKAZI WA MBEZI BEACH NA KIMARA WIKI HII ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

TUSKER FANYAKWELI KIWANJANI YAWAKUNA WAKAZI WA MBEZI BEACH NA KIMARA WIKI HII !

Bet Sasa
Mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (aliyesimama) kwenye picha ya pamoja na Bw. Cheni Omary ambaye alijishindia bia za bure na fulana wakati promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani ilipokua ikiendelea katika kiwanja cha Miti Mitatu kilichopo Korogwe jijini Dar es salaam.
Mkazi wa Kibaha-Pwani Bi Emelda Joseph akipokea zawadi ya fulana toka kwa Msimamizi wa Mauzo wa Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Ubungo Victor Mhindi katika hafla ya kuipongeza baa ya Miti Mitatu ya Kimara-Korogwe jijini Dar es salaam mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker.
Mkazi wa Mbezi Louis, Bi. Florah Mshanga akipokea zawadi yake ya bia ya bure toka kwa mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kushoto) kabla ya kukabidhiwa fulana na mfuko na Msimamizi wa Mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Ubungo Victor Mhindi (kulia) katika hafla ya kuipongeza baa ya Miti Mitatu iliyopo Kimara-Korogwe jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker.
Mpenzi wa bia ya Tusker aliyefahamika kwa jina la Kikya Mathias (katikati) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Msimamizi wa Mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Mbezi Beach Obedi Salema (kushoto) wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya Coast Pub iliyopo Tangi Bovu-Mbezi beach jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. (kulia) ni mshereheshaji wa promosheni hiyo Gadner Habash.
Mkazi wa Mbezi Beach jijini Dar es salaam, Mlai Abraham akipokea zawadi ya fulana toka kwaMsimamizi wa Mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Mbezi beach Obedi Salema katika hafla ya kuipongeza baa ya Coast Pub ya Mbezi Beach jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye promosheni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani.
Mpenzi wa bia ya Tusker na mkazi wa Mbezi Beach jijini Dar es salaam, Jane Jeva (katikati) akipokea zawadi yake ya mfuko wenye fulana toka kwa Msimamizi wa Mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Mbezi beach Obedi Salema (Kushoto) katika hafla ya kuipongeza baa ya Coast Pub Tangi Bovu-Mbezi Beach jijini Dar es salaam mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.