Trey Songz na Davido Wathibitisha Kukamilika Kwa Collabo Yao ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Trey Songz na Davido Wathibitisha Kukamilika Kwa Collabo Yao !

Muda si mrefu itaachiwa collabo mpya ya msanii wa Afrika aliyemshirikisha staa wa Marekani, ila sio kama ile ya Octopizzo na September Alsina (LoL).
davido-Trey-Songz
Miezi kadhaa toka staa wa Nigeria Davido atoe taarifa kuhusu ujio wa collabo yake mpya ya kimataifa aliyofanya na Trey Songz, sasa inaonekana mzigo umekamilika.
Trey na Davido wamethibitisha kukamilika kwa collabo hiyo kupitia tweets zao, na pia Trey ameshare snap chat video.
davido trey-1
davido trey-2
davidooo treyyy
Wimbo huo ni miongoni mwa nyimbo zitakazopatikana kwenye album mpya ya Davido aliyopanga kuiachia mwezi huu wa tisa kama tarehe haitabadilishwa tena.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.