Stephen Brown afungwa jela kisa Nick Minaj - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Stephen Brown afungwa jela kisa Nick Minaj

nicki-minaj
MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Stephen Brown, amejikuta akiswekwa jela miezi minne baada ya kupiga simu polisi akidai msanii mwenzake, Nick Minaj, ametaka kumuua.
Pombe zilimfanya Brown, mwenye miaka 24, apige simu kituo cha polisi na kudai mwanadada Nick Minaj alitaka kumuua, lakini polisi walipofika eneo la tukio wakamkuta akiwa peke yake amelewa.
Kutokana na kitendo hicho cha kuwasumbua polisi, Brown amehukumiwa kifungo cha jela kwa miezi minne.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.