Shilole "Shishi Baby" aamua kuchora tattoo yenye jina la Nuh Mziwanda, ipo hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Shilole "Shishi Baby" aamua kuchora tattoo yenye jina la Nuh Mziwanda, ipo hapa

Msanii wa bongo fleva mwenye single ya ‘Hadithi’ inaoshika nafasi nzuri kwa sasa kwenye radio na Tv amefurahishwa na kitengo cha mchumba wake Shilole kuchora tattoo ya jina lake kwenye mkono wake kama aliyofanya yeye takriban mwaka mmoja uliopita.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.