Riyama Afunguka ya Moyoni Mtoto Wake Kufiakiasha Miaka Mitatu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Riyama Afunguka ya Moyoni Mtoto Wake Kufiakiasha Miaka Mitatu

Alhamdulilah Asante MUNGU kwa kila kitu Asante Kwa zawadi ya Fatma hakika furaha yangu haiwezi kusemeka ni faraja ni tumaini ni kila kitu kwangu Asante kunifanya niitwe mama wewe kwangu ni muangaza uliojaa tumaini la pekee @fetydamwan na muomba mola anijalie uhai na uzima Afya njema na nguvu hekma na busara nikulee vyema mama nikusomeshe ili uje kunilea siku za usoni ukawe mtoto wa kheri unijue mimi mama na ukawajue kina mama wote ukawapende kama unavo ipenda na ukawaheshimu NAKUPENDA SANA.
 Dah naishiwa maneno Mamie wangu damwan Mola akujaie maisha marefu yenye Afya njema Baraka na Amani Amin nakupenda Sana mwanangu naomba tuapongeze kipenzi chetu mtoto wangu mtoto wetu @fetydamwan Leo ametimiza miaka mitatu HAPPY BIRTHDAY DAMWAN MUNGU AKUJAALIE MAISHA MEMA YENYE AFYA NJEMA BARAKA NA AMANI
Riyama Ally on Instagram

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.