PICHA Ya Ndege Mbugani Ikionyesha Twiga Akipandiswa Kwenye Ndege...Nini Kinaendelea ? Ni Edited Au ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

PICHA Ya Ndege Mbugani Ikionyesha Twiga Akipandiswa Kwenye Ndege...Nini Kinaendelea ? Ni Edited Au ?

Siku ya Leo Kwenye Mitandao ya Kijamii zimesamaa picha zikionyesha ndege ya Nje akiwa Mbugani Huku Baadhi ya Watu wakishughulika Kumpandisha Twiga kwenye ndege hiyo....
Watu wengi Wamelaani kitendo hicho kwa kukumbushia tukio la Twiga Kusafirishwa kupitia Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro....

My Take: Nimebahatika kutumiwa picha hii hapa chini ambayo inafanana na hiyo hapo juu bila kuwa na hiyo picha ya Twiga na hao watu Wakimshusha Twiga Kwenye Gari...kitu ambacho kwa Haraka Haraka inaonyesha Picha  ya Juu ni Photoshoped......

Mdau Embu Angalia na wewe hizo picha mbili na Utoe maoni yako ? 

-udakuspecially

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.