PICHA: Mose Iyobo Wa Aunt Ezekiel Anunua Gari Mpya, Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

PICHA: Mose Iyobo Wa Aunt Ezekiel Anunua Gari Mpya, Ipo Hapa

Dancer maarufu Tanzania kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) Mose Iyobo ambae pia ni mume wa mwigizaji wa filamu Aunt Ezekiel amenunua gari mpya na kwa kuthibitisha hilo mwanamuziki Diamond Platnumz amepost picha ya gari hio mtandaoni na kuandika " Congratulation@moseiyobo on your Brand new Ride!!!.. (Hongera sana Mtu Mbadi @moseiyobokwa Mashine yako Hii Mpya...Mwenyez Mungu akuongeze Maarifa, ujuzi na juhudi zaidi kwenye Kazi...🙋)

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.