Picha, Chris Brown Alipokosa Mahali Pakuegesha Gari Yake Mpya Alifanya Hivi. Inachekesha Hii - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha, Chris Brown Alipokosa Mahali Pakuegesha Gari Yake Mpya Alifanya Hivi. Inachekesha Hii

NEW YORK, NY - SEPTEMBER 12: Recording Artist Chris Brown visits Music Choice's "You & A" to promote upcoming album "X" at Music Choice on September 12, 2014 in New York City. (Photo by Slaven Vlasic/Getty Images)
Rnb Super Star Chris Brown ni miongoni mwa masta wenye magari mengi na ya kifahari kwenye gereji za majumba yao na hivi karibuni staa huyu amenunua gari mpya aina ya Lamborghini ila alikosa mahali pakuegesha gari hii na ndio akaiweka ndani ya sebule yake.
cb 1 cb 2

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.