Petit Man Akanusha Kutoka Na Wema Sepetu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Petit Man Akanusha Kutoka Na Wema Sepetu

 
Mume wa dada yake na Diamond, Esma, Petit Man ambaye pia ni mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Film amekanusha kutoka kimapenzi na na bosi wake huyo.
Akizungumza kwenye kipindi cha na FNL cha EATV jana, Petit alisema anamheshimu Wema kama bosi wake.
“Niko na Wema huu ni mwaka wa nane inasemekana vitu hivyo hivyo,” alisema. “Lakini Wema akiwa tu karibu na mtu basi watu wanasema hivyo. Ilikuwa kwa Mirror wakasema hayo, maneno hayo ni maneno wanayoyaongea. Hakuna kitu chochote, Wema ni bosi wangu tena wa uhakika,” aliongeza.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.