Penzi la Nuh Mziwanda na Shilole Studioni, Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Penzi la Nuh Mziwanda na Shilole Studioni, Ipo Hapa

Penzi lililopo juu kwa sasa kati ya Shilole na Nuh Mziwanda, limemehamasishwa sana na muziki huo ambapo wawili hawa walikutana Studio ambapo Nuh alilianza kujenga mazoea ambayo baadae yaligeuka kuwa mahusiano ya mapenzi.
Taarifa hizo za ndani zinaweka wazi na Nuh ambaye anaeleza kuwa, katika kipindi hicho alikuwa akiish studio, na kukutana kwake na Shilole kwa mara ya kwanza hakukuwa na nia yoyote ya kimapenzi mpaka kukolea sana katika kufanya kazi za kimuziki, kufikia hatua ya 'ku-misiana' pale mmoja na anapokuwa mbali na mwezie.
-EATV.TV

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.