Msimamizi wa Mitihani Aingiza Mkono Sehemu za Siri za Mwanafunzi wa Kike, Huwezi Kuamini Alichokikuta - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Msimamizi wa Mitihani Aingiza Mkono Sehemu za Siri za Mwanafunzi wa Kike, Huwezi Kuamini Alichokikuta

Hii imetokea huko Nigeria baada ya Mwalimu msimamizi wa mitihani kua gumzo  baada ya kumhisi mwanafunzu kaingia kwenye chumba cha mtihani na majibu. Alikutana na  mwanafunzi huyo akichechemea na ndipo alipomshuku na kuingiza mkono wake kwenye sehemu zake za siri jambo lililowashangaza sana  wanafunzi wengine waliokua kwenye chumba hicho cha mitihani.

Alikuta karatasi yenye majibu kwenye chupi yake!! Noma Kweli Kweli !


Je mwalimu alikuwa sawa kufanya hivo ?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.