Msanii Mr Blue Amejaliwa kupata Mtoto Wa pili, Wa Kiume au kike ? Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Msanii Mr Blue Amejaliwa kupata Mtoto Wa pili, Wa Kiume au kike ? Ipo Hapa

Mr Blue na mke wake wamepata mtoto wa pili. Awamu hii familia hiyo imepata mtoto wa kike aitwaye, Khairriyaaa.
11881666_1632667230307606_1725134772_n
Khairriya Herry Sameer

“Alhamdulilahi mungu ni mwema sana sana, hatuna cha kumlipa zaidi ya kumuabudu kumtukuza na kumshukuru,” ameandika Blue kwenye Instagram.
“Nakushukuru sana mungu wangu na nakushukuru pia mke wangu @wahyda_bysers_heart kwa kuniletea zawadi nyingine nzuri. Nimepata mtoto mwingine wa kike ndugu zangu anaitwa# khairriyaaa…..ahsante mungu kwa kunipa baba na mama wa kunilea tena uzeeni.”

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.