MICHEZO: TFF Kumchukulia Hatua Mchezaji Anayewapiga "Dole" Wenzie Uwanjani, Juma Nyoso - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

MICHEZO: TFF Kumchukulia Hatua Mchezaji Anayewapiga "Dole" Wenzie Uwanjani, Juma Nyoso

Bet Sasa
Cheza mbali na Juma Nyoso lasivyo atakupiga dole!
NYOSSO DOLE
Camera zilimnasa Nyoso akimpiga dole mchezaji wa Azam, Bocco

Beki huyo wa Mbeya City amerudia tena kitendo hicho cha kudhalilisha wachezaji wenzake wake uwanjani kiasi ambacho TFF imeahidi kumchukulia hatua kali zaidi awamu hii.
“Udhalilishaji uliofanywa leo na mchezaji mmoja wa timu ya ligi kuu tumeuona,hatua kali zitachukuliwa muda sio mrefu,tuwe na subira,” Rais wa TFF, Jamal Malinzi ameandika kwenye Twitter.
Awamu hii Nyoso amempiga ‘dochi’ mchezaji wa Azam, John Bocco kwenye mchezo wa Azam na Mbeya City jana.
Nyoso amewahi pia kumfanyia kitendo hicho mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri na TFF kumwadhibu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.