MICHEZO: Mchezaji Wayne Rooney Aweka Rekodi Nyingine ! Jionee Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

MICHEZO: Mchezaji Wayne Rooney Aweka Rekodi Nyingine ! Jionee Hapa

2BFFF80D00000578-0-image-a-4_1441472152918
Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney aliingia katika headlines baada ya kuifikia rekodi ya mfungaji bora wa muda wote katika timu ya taifa ya UingerezaSir Bobby Charlton, rekodi ambayo inatajwa kudumu kwa muda wa miaka 45. Rooneyaliifikia rekodi hiyo baada ya kufunga goli moja katika ushindi wa goli 6-0 dhidi ya San Marino.
2BFFF6CC00000578-0-image-a-16_1441472895911
2BFFFE7500000578-0-image-a-8_1441472308888
2BFFD97100000578-0-image-a-28_1441474265609
Coolen Rooney akishuhudia Rooney akiingia katika rekodi ya kihistoria
2C02769500000578-3223574-image-a-41_1441495378809
Msimamo wa Kundi E

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.