Meek Mill Aomba Instagram Iweke Option Ya Kuzima Comments,Ijue Sababu Ya Jay Z Kufuta Account Ya Instagram, Zipo hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Meek Mill Aomba Instagram Iweke Option Ya Kuzima Comments,Ijue Sababu Ya Jay Z Kufuta Account Ya Instagram, Zipo hapa

Bet Sasa
NEW YORK, NY - SEPTEMBER 26:  (L-R) Meek Mill and Jay-Z attend the Premiere Of NBA 2K13 With Cover Athletes And NBA Superstars at 40 / 40 Club on September 26, 2012 in New York City.  (Photo by Johnny Nunez/WireImage for 2K Sports)
Meek Mill Na Jay-Z
Rapa Meek Mil ameomba mtandao wa instagram uweke option ya kuzima comments za watu na kusema “Unakuta mtu kaweka picha ya kutoa pole kwa mtu aliyefariki ila bado watu wanaongea mambo ya ujinga ” .
Meek anasema amejifunza mengi kutoka kwa Jay Z kuhusu mitandao ya kijamii. Jay Z alifungua account ya instagram wiki iliyopita na kuifuta baada ya saa 24 tu. Jay Z yupo twitter ila ame tweet mara 236 toka November 2008.
Meek Mil anasema  “ Jay Z alimwambia mitandao ya kijamii imewekwa kwa sababu ya wale watu ambao hata ukikutana nao hawawezi kuongea kitu, kwa watu wanaogopa kuongea na wanawake na wanaume, huwezi kuongea ukweli sababu mitandao ni dunia ya watu fake na watakuchukia ukisema ukweli, Watu hawana maisha tena sababu wana dunia ya kuigiza kuwa wana maisha bora” 
-sammisago

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.