MAMA NA MWANA WAJIFUNGUA WATOTO KUTOKA KWA BABA MMOJA NA MWEZI MMOJA. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

MAMA NA MWANA WAJIFUNGUA WATOTO KUTOKA KWA BABA MMOJA NA MWEZI MMOJA.


Mama na mwana wakiwa wamebeba watoto wao
Mama na mwana wajaliwa kupata watoto kwa mwezi mmoja na kwa baba mmoja.
Mwanamke kutoka Afrika Kusini, Mildred Mashego na binti yake Patricia, wameingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kama mama wa kwanza na binti wa kuzaa kupata watoto kwa mwezi mmoja na kwa baba mmoja.
Pia wote wawili wamejaliwa kupata watoto wa kiume huku Patricia akimtangulia mama yake siku nne kujifungua.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.