Kumbe Jay Z na Beyonce ni Wapangaji, Nyumba Yao Imeuzwa.. Wanahama lini ? Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kumbe Jay Z na Beyonce ni Wapangaji, Nyumba Yao Imeuzwa.. Wanahama lini ? Ipo Hapa

faring 2
Bado siku ngapi wahame? Watahamia wapi? Hayo maswali ndio yanayogusa headlines sasa hivi kuhusu Familia hiyo ya mastaa… Jumba hilo la Kifahari lilikuwa linauzwa kwa Dola Mil. 48 lakini mastaa hao hawakuridhika kuyafanya makazi yao ya kudumu, wakaona waishi kama wapangaji tangu February 2015 mpaka sasa hivi.
Entrepreneur and musician Jay Z, left, sits with his wife, singer Beyonce during the Brooklyn Nets NBA basketball game against the Philadelphia 76ers at the Barclays Center, Monday, Feb. 3, 2014 in New York. (AP Photo/Kathy Willens)
Jay Z na mkewe kwenye pozi la kucheki game ya Basketball.
Siku ambazo zimebaki mpaka wahame kwenye Mjengo huo ni siku 60 tu ambazo ni sawa na miezi miwili !! Baada ya hapo tutajua wanahamia wapi japo story ni kwamba tayari wameanza kutafuta nyumba maeneo ya Beverly Hills na Holmby Hills ndani ya Los Angeles, Marekani.
Pichaz nyingine za mjengo wenyewe hizi hapa nje mpaka ndani kama hukuwahi kuziona mtu wa nguvu !!
faring 3faring 5faring 9faring 10faring 14faring 15faring 21faring 23faring 26

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.