Kuhusu Nyumba ya 50 Cent Afrika na Kuishiwa Pesa ! Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kuhusu Nyumba ya 50 Cent Afrika na Kuishiwa Pesa ! Ipo Hapa

50-cent
Baada ya kutangaza kuwa nyumba yake mpya iliyoko barani Afrika inakaribia kukamilika, rapa 50 Cent anaendelea kuonyesha dunia kuwa ameishiwa.
50 Cent ameomba mahakama ruhusa ya kutoa pesa kwenye account yake ilikulipia bili za nyumbani kwake kama umeme,gesi, cable, Internet, watoa matakataka, simu na maji. Nyumba yake ipo  Connecticut.
50 Cent analipa zaidi ya dola $10,597 kwaajili ya umeme na gesi kwenye nyumba yake ya  Connecticut aliyonunua kutoka kwa Mike Tyson.
May mwaka huu Mtandao wa Forbes ulikadiria thamani ya 50 Cent kuwa ni  dola milioni 155.
50 cent 2
50 cent 1
50 cent

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.