Jionee Hapa, Ray C Aurejesha Mwili Wake Wa ‘KIUNO Bila Mfupa’ Baada Ya Kupungua Kg 30. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jionee Hapa, Ray C Aurejesha Mwili Wake Wa ‘KIUNO Bila Mfupa’ Baada Ya Kupungua Kg 30.

Bet Sasa
Ray C amefanikiwa kuurudisha mwili wake wa zamani ambao ulikuwa ni moja ya silaha zake awapo jukwaani, kutokana na wepesi wa kukizungusha kiuno chake kilichosababisha a.k.a ya ‘Kiuno bila mfupa’ kuanza kutumika.
ray cc
Jinsi Ray C alivyokuwa kabla ya kupungua

Toka Ray C ambaye jina lake halisi ni Rehema Chalamila aingie kwenye matatizo ya matumizi ya dawa za kulevya, mwili wake pia uliongezeka kwa kiasi kikubwa kiasi ambacho hata yeye binafsi amekiri kuwa alikuwa akiuchukia.
Ray c kiuno
Huyu ni Ray C wa leo baada ya kupungua

Baada ya kuanza mazoezi ya kupungua, Ray C amewa-surprise mashabiki wake kwa kupost picha mpya Instagram akiwa amefanikiwa kupungua kg 30 na kuandika;
“THE OLD RAY C IS BACK!!!!RAYC WA ZAMANI ANARUDI!!!!NAISHIA HAPA!SIKUTAKA KUWAONYESHA JINSI GANI NILIVYOKUWA NAJICHUKIA NIKIJIANGALIA KWENYE KIOO NA UNENE NILIOKUWA!MTU NILIEKUWA NAMTEGEMEA KUNISAIDIA KUNIRUDISHA KWENYE MUZIKI ALIUCHUKIA SANA UNENE WANGU NA AKANIAMBIA KAMA NATAKA NATAKA KURUDI KWENYE GAME NIPUNGUE KILO 30!!!!!!
NINA FURAHA YA AJABU KUMUONA TENA RAY C YULE NILIOMZOEA!!NAANZA SHOOTING NEXT WEEK!!!YEI YE!I!!”

rayc
Na huyu hapa chini ndiye Ray C wa enzi za kiuno bila mfupa kabla ya kupatwa na matatizo
RayC11
-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.