Jacqueline Wolper Adondosha Chozi Baada Ya Kuvishwa Pete Ya Uchumba, Tazama Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jacqueline Wolper Adondosha Chozi Baada Ya Kuvishwa Pete Ya Uchumba, Tazama Hapa

Jacqueline Wolper hayupo tena kwenye market guys. Tunakuletea video inayomuonesha muigizaji huyo akilia baada ya kuvishwa pete ya uchumba.

“Chozi limenitoka Mungu wangu nilinde nilindie,” aliandika kwenye video hiyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.