Hatimae Mwigizaji Ray Aibuka na Kusema Haya Kuhusu Tetesi za Kuhongwa Mil 50 Aipigie Kampeni CCM - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hatimae Mwigizaji Ray Aibuka na Kusema Haya Kuhusu Tetesi za Kuhongwa Mil 50 Aipigie Kampeni CCM

Kufuatia tetesi kuenea mtandaoni kuwa staa wa Bongo Moveis , Vicent Kigosi ‘Ray ‘ amehama UKAWA “team mabadiliko” na kwenda upande wa CCM., Ray amepanga kuvunja ukimya na kutoa tamko lake rasmi juu ya swala hilo.

Kupitia ukursa wake kwenye mtandao  wa  kijamii wa instagram Ray ambaye amekuwa akishambuliwa na baadhi mashakibi wake kwenye mtandao huo wakidai kuwa amenunuliwa , aliandika haya;

Nimeyasikia mengi sana kwenye mitandao ya kijamii ila nasema hivi nitatoa tamko langu soon”.

Nadhani sasa mashabiki wapunguze munkali wasubiri tamko lake.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.