Dj Fetty Wa Clouds Fm Atangaza Kuacha Kazi Ya Utangazaji, Aagwa Rasmi Sept 15 Kwenye XXL - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Dj Fetty Wa Clouds Fm Atangaza Kuacha Kazi Ya Utangazaji, Aagwa Rasmi Sept 15 Kwenye XXL

Aliyekuwa mmoja wa watangazaji wa kipindi maarufu cha burudani XXL cha Clouds FM, Fatma Hassan ‘Dj Fetty’ jana Sept.15,2015 amewaaga rasmi wasikilizaji na wafanyakazi wenzake na kuachana na kazi ya utangazaji ili kuendeleza biashara zake.
fetty-1
Fetty amesikika kwenye kipindi hicho leo kwa mara ya mwisho kama sehemu ya kusema kwaheri.
fetty-2
Fetty akiagwa na wafanyakazi wenzake kwenye XXL

fetty na dozen
Kipindi hicho ambacho huongozwa na B Dozen akishirikiana na Adam Mchomvu sasa kimepata member mpya, Kennedy The Remedy aliyechukua nafasi ya Fetty.
kennedy
Kennedy The Remmedy (kushoto) aliyeungana na familia ya XXL Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.