Diamond Ashinda Tuzo Mbili Za African NAFCA - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Ashinda Tuzo Mbili Za African NAFCA

Diamond Platnumz anaendelea kufanya vizuri kimataifa baada ya kuibuka mshindi wa tuzo mbili za African NAFCA.
11998919_991184737570007_3465635196205312824_n
Muimbaji huyo ameshinda vipengele vya msanii wa mwaka anayependwa pamoja wimbo wa mwaka unaopendwa ‘Nana’ aliomshirikisha Flavour.
Kupitia Instagram, Diamond ameandika:
I would love to say thank you to everybody who Voted for me on @africannafca Awards…am so grateful, i wouldn’t have Made it without you…hare are our Trophies….i will always make sure i work hard to make My Africa Proud..also wanna Thank @africannafca for keep Supporting African talents….please, don’t forget to Vote for me on @MtvEma awards.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.