Davido Afunguka Kuhusu Album Kuchelewa,Beef na May D, Mpango Wa Ndoa Na Mama Mtoto Wake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Davido Afunguka Kuhusu Album Kuchelewa,Beef na May D, Mpango Wa Ndoa Na Mama Mtoto Wake.

davido
Muimbaji  kutoka Nigeria Davido ameongelea kuchelewa na kubadilisha tarehe ya kutoka kwa album yake ya pili. Davido amesema
Mashabiki wameomba nitoa album  hii mara nyigi sasa na nilazima niseme nimekuwa kwenye shinikizo kubwa la kuitoa ” .
 nilihairisha kuitoa sababu kuna collabo za kimataifa ambazo bado hazikuwa tayari, pia mambo ya shule na nina mtoto wa kike sasa so nina mambo mengi ” .
Davido akiongelea urafiki na May D amesema
May D ni rafiki yangu akiwa na hata asipokuwa na PSquare au Square Records, sio kweli kwamba nimemtupa, bado ni rafiki yangu “.
Davido alimalizia kuwa ni vizuri kuwa baba ila hana mpango wa kufunga ndoa kwa sasa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.