Bela Atafuta Kiki Na Umaarufu Kwa picha Za Utupu, Ipo hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Bela Atafuta Kiki Na Umaarufu Kwa picha Za Utupu, Ipo hapa

Bet Sasa
ISABELA-(1)
Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda.
KATIKA kile kinachoaminika kama ni kutafuta kiki, Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amepiga picha za utupu na kuzitupia katika mitandao ya kijamii akiwa katika pozi mbalimbali.
Rafiki yake mmoja (jina linahifadhiwa) aliyelinyetishia gazeti hili kuhusu uwepo wa picha hizo, alisema kwa jinsi picha hizo zilivyo ni wazi kuwa endapo sheria ya mtandao itafanya kazi yake, basi mrembo huyo atakuwa matatani.
Gazeti hili lilipowasiliana na Isabela baada ya kuziona picha hizo na kutaka kujua jinsi atakavyoshughulika na sheria ya makosa ya mtandao alisema; “Picha siyo kitu cha kunifanya nishtakiwe kwa sababu simtukani mtu, wala mavazi yangu siyo sababu ya kuchukuliwa hatua labda wanaopitia sheria hii wawe hawana kazi ya kufanya.”

source: GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.