Basata Wameufungia Rasmi Wimbo Wa Roma- "Viva Roma Viva", Asema Haya.. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Basata Wameufungia Rasmi Wimbo Wa Roma- "Viva Roma Viva", Asema Haya..

romaa
Baraza la Basata wameufungia rasmi wimbo wa msanii Roma Mkatoliki uitwao ‘Viva Roma Viva ‘ na nyinginezo zenye ujumbe kama ule. Basata imesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo.
roma jee

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.