Baada Ya Kuvalishwa Pete Haya Ndio Maneno ya Wolper. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Baada Ya Kuvalishwa Pete Haya Ndio Maneno ya Wolper.

Staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper ambaye amevishwa pete na mchumba wake, jana kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram alifunguka haya, mara baada ya kubandika picha hizihuku akipost picha kadhaa wakati akivalishwa pete.
”Kweli Maisha uwezi kuyapanga wala kuyajenga zaidi ya Mungu.. dah nimekaa na mwenzangu leo sku nzima nimecheka nimenuna kumbe kuna tukio mbele dah sijategemea kabisa nimekaa maskani niliyozoea kukaa kila sku na Mr wangu sasa leo nashangaa kanunua mashat sare mara ataki tukae tunapokaa kila sku kumbe hana plan zake nikagombana nae sana skujua lililopo mbele nikajiwekea mawivu tuu mbele labda kuna analoogopa lakn kumbe alikua anajambo lake alilotaka kufanya nakukamilisha sku yangu japo alianza na zawadi ya cheni ambayo nimekua nikiizoea maana uwa anapenda kuni suprise so sikushtuka sana japo nilimshukuru kma apo awali nilivyoweka insta..but kubwa ni hili hapa ambalo sikulitegema..kikubwa nikumuomba Mungu anisimamie Basi..okey endelea kuangalia ni nini kanisuprise leo nakunishangaza tho am happy naninafuraha i love him so much jamani ata sina lakusema Mungu nilindie huyu kijana Amen” Wolper alimaliza.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.