Alichoandika Diamond Platnumz kuhusu Issue ya Juma Nyosso na John Bocco. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alichoandika Diamond Platnumz kuhusu Issue ya Juma Nyosso na John Bocco.

diamond platnumz
Toka September 27 ilipochezwa mechi  ya Azam FC dhidi ya Mbeya City kwenye uwanja wa Azam Complex ambapo mchezaji wa mbeya city Juma Nyoso alimfanyia kitendo cha udhalilishaji nahodha wa Azam FC John Bocco hii imekuwa stori kubwa zaidi kwenye mechozi na imeongelewa na vijana wengi kama kitendo cha kero kwenye soka.
Leo msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ametoa mtazamo wake juu ya issue hii.
diamond soka nyoso 2

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.