AJABU: Baada Ya Mumewe Kubadili Jinsia, Mama Kim: Nataka Niitwe Kardashian. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

AJABU: Baada Ya Mumewe Kubadili Jinsia, Mama Kim: Nataka Niitwe Kardashian.

Bet Sasa

Kris Jenner
NEW YORK, Marekani
IKIWA imepita miezi kadhaa tangu mumewe, Bruce Jenner kujibadili jinsia na kuwa mwanamke kisha kujiita ‘Caitlyn’ mkewe naye ameamua kumfuta kabisa kwa kubadilisha jina la Kris Jenner na kutaka kuitwa Kris Kardashian.

Bruce Jenner (Caitlyn).
Kwa mujibu wa mtandao maarufu wa Marekani, unaweka wazi kuwa Kris (59) anafanya kila liwezekanalo kujibadilisha muonekano na kuwa mzuri kuliko Caityln (65) alivyo sasa.

Kim Kardashian na mama yake Kris Jenner (Kris Kardashian).
“Hataki kabisa kuonekana mbaya halafu Caitlyn mzuri, kwa sasa amebadili jina na hii yote ni kutaka aonekane yupo juu kuliko mumewe huyo wa zamani,” kilisema Chanzo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.