AFYA: KITUNGUU SWAUMU HUTIBU MAGONJWA 30, SOMA HAPA - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

AFYA: KITUNGUU SWAUMU HUTIBU MAGONJWA 30, SOMA HAPA

Haya ni baadhi ya magonjwa yanayotibika au kukingika na kitunguu swaumu:

 1. Huondoa sumu mwilini
 2. Husafisha tumbo
 3. Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro)
 4. Husafisha njia ya mkojo
 5. Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria
 6. Huzuia kuhara damu (Dysentery)
 7. Huondoa Gesi tumboni
 8. Hutibu msokoto wa tumbo
 9. Hutibu Typhoid
 10. Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi
 11. Hutibu mafua na malaria
 12. Hutibu kifua kikuu
 13. Hutibu kipindupindu
 14. Hutibu upele
 15. Huvunjavunja mawe katika figo
 16. Hutibu mba kichwani
 17. Huupa nguvu ubongo
 18. Huzuia meno kung’ooka na kutuliza maumivu
 19. Huongeza SANA nguvu za kiume
 20. Hutibu maumivu ya kichwa
 21. Hutibu kizunguzungu
 22. Hutibu shinikizo la damu
 23. Huzuia saratani/kansa
 24. Hutibu maumivu ya jongo/gout
 25. Huuongezea nguvu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
 26. Huongeza hamu ya kula
 27. Huzuia damu kuganda
 28. Husaidia kutibu kisukari
 29. Husaidia kutibu tatizo la kukosa usingizi
 30. Huongeza SANA kinga ya mwili

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.