Zari Aendelea Kuuboresha Muonekano Wa ‘Ikulu’ ya Diamond Platnumz (PICHA Zipo Hapa) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zari Aendelea Kuuboresha Muonekano Wa ‘Ikulu’ ya Diamond Platnumz (PICHA Zipo Hapa)

Bet Sasa
11909146_1005560159468803_1153465621_n
Zari akikagua muendelezo wa upambaji wa nyumba ya mchumba wake Diamond Platnumz
Mchumba wake Zari the Bosslady ameamua kusimamia awamu ya pili decor ya mjengo huo wa kifahari wenye swimming pool, bar na gym.
11910360_1501242880168291_597753971_n
Mama Tiffah amepost picha kadhaa kwenye Instagram kuonesha hatua hizo. “#StateHouseStillInTheMaking by mama mpola Oops by mama @princess_tiffah & @lilq_is_bae,” ameandika Zari.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.