VITUKO: Jionee Wakenya walivyomshambulia Huddah baada ya kugundua shamba alilopost Instagram sio lake ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

VITUKO: Jionee Wakenya walivyomshambulia Huddah baada ya kugundua shamba alilopost Instagram sio lake !

Wakenya kwenye mtandao wa Twitter maarufu kama #KOT (Kenyans On Twitter), wametumia utani wa picha (meme) kumshambulia socialite wa Kenya, Huddah Monroe ambaye huwa hachoki kutengeneza matukio ya kumrudisha kwenye headlines.
huddah-22
Baada ya jana Huddah kupost picha za shamba alilodai kuwa ni lake (Soma Hapa) na kuandika kuwa kilimo ndio kinachomuingizia pesa na kumpa maisha ya kifahari anayoyaonesha Instagram, KOT walitafuta ukweli juu ya picha hizo na kugundua kuwa amezitoa mtandaoni.
Huddah shamba-1
Moja picha alizopost Huddah akidai ni shamba lake

Moja ya picha hizo imetoka katika mtandao wa graduatefarmer.co.ke
huddah urongo
Soma na ucheke kwa jinsi #KOT walivyompa vijembe kwa kutumia meme:

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.