VIDEO: Nay wa Mitego na Shamsa Ford kwamara ya kwanza wakiri kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

VIDEO: Nay wa Mitego na Shamsa Ford kwamara ya kwanza wakiri kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi

Kwamuda mrefu mitandao ya kijamii na hata vyombo vya habari vimekuwa vikilizungumzia suala la Nay wa Mitego na Shamsa Ford kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi japokuwa wao walikuwa wakisema hawana mahusinao zaidi ya kuwa ni ndugu 'Binamu'.

Kwenye video Nay wa Mitego akiwa na Shamsa Ford wamekulizungumzia hilo tena ambapo imekuwa ni tofauti na walivyokuwa wakilizungumzia, Wakati huuNay wa Mitego amekubali kwa kinywa chake kuwa na uhusino wa kimapenzi naShamsa Ford.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.