THEA APATA MWANAUME WA KUMLEA - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

THEA APATA MWANAUME WA KUMLEA

Kwa taarifa yako, mwigizaji ‘lejendari’ Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ juzikati alifunguka kuwa kwa sasa amepata mwanaume anayejua kumlea na kumtunza ambapo anatarajia kumuweka wazi muda si mrefu.

Akistorisha na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita ndani ya Hoteli ya Protea jijini Dar, Thea alisema kuwa baada ya kuachana na aliyekuwa mumewe Michael Sangu ‘Mike’ na kukaa bila kuweka wazi ‘anabanjuka’ na nani, sasa anatamba kumpata mwanaume anayejua thamani ya mwanamke.
“Nitamuweka wazi ‘soon’ shemeji yenu ili mumjue kwani nimeshamchunguza na kugundua kuwa ananifaa na nitakuwa naye katika safari ya mapenzi,” alisema Thea.

-GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.