Shilole, Nikiiba waume za watu nisilaumiwe...ipo hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Shilole, Nikiiba waume za watu nisilaumiwe...ipo hapa

shilolee 23
Mwanamuziki Shilole ambaye anatumikia kifungo cha mwaka mmoja kilichotolewa na Baraza la Sanaa Basata ya kutojihusisha na shughuli za kisanaa amesema ” sanaa ndiyo kazi inayompatia kula na hata kuwasomesha watoto wake hivyo kumfungia mwaka mzima ni kama kumtuma kutembea na waume za watu ili maisha yake yazidi kusonga“.
Shilole asema kuwa mpango wake wa kwenda kufanya show marekani upo pale pale japo amegoma kuzungumzia kuhusu adhabu yake.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.