Shilole Ajibu Mapiga Baada ya Wema Kusambaza Sauti ya Mziwanda Akimtogoza, Ipo hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Shilole Ajibu Mapiga Baada ya Wema Kusambaza Sauti ya Mziwanda Akimtogoza, Ipo hapa

ShihiNakukutanisha na msanii wa bongofleva Shilole ambaye aliingia kwenye headlines baada ya boyfriend wake msanii Nuh Mziwanda kunaswa kwa sauti akimtongoza mwigizaji Wema Sepetu.Ilionekana kama baada ya kusambaa hadharani kwa sauti hiyo kungefanya mapenzi yao yayumbe au waachane lakini imekua tofauti na matarajio kwani Shilolealithibitisha kuendelea kwao pamoja kwa kupost hiyo picha hapo juu na kuandika Mi siachani nawe na ntakupenda zaidi’
Shihi 2

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.