Shangwe Za Windhoek Beer Zinaendelea Na Sasa Ni Moshi, Jionee Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Shangwe Za Windhoek Beer Zinaendelea Na Sasa Ni Moshi, Jionee Hapa

Dj akiwa kwenye mtambo tayari kwa burudani ya nguvu kwa wateja na wapenzi wa Windhoek Beer waliofikia Mekuz Bistro iliyopo mjini Moshi siku ya jana 13/08 usiku.
Bia ya Windhoek yenye Ubora wa kimataifa na inayopendekezwa kwa watu makini kwani inakufanya uwe Makini zaidi.


Raha ya bia iwe Windhoek alafu ya bariidi kabisa lazima ufurahie na uone utamu wa bia.
Shangwe zikiendelea ambapo wateja waliweza kupatiwa Ofa na zawadi kibao kutoka Windhoek Beer
Shangwe zikiendelea ambapo wateja waliweza kupatiwa Ofa na zawadi kibao kutoka Windhoek Beer.
Shangwe zikiendelea ambapo wateja waliweza kupatiwa Ofa na zawadi kibao kutoka Windhoek Beer.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.