Shamsa Ford Atoboa ‘Negative Sides’ Zake 20 Usizozijua, Zipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Shamsa Ford Atoboa ‘Negative Sides’ Zake 20 Usizozijua, Zipo Hapa

Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ameandika haya kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram.
Morning my people..hizi ndo my negative sides
(1) Nina wivu kupitiliza kwa mtu ambae nampenda ingawa sioneshi
(2) Nina kaukorofi nikiudhiwa
(3) Nina hasira sana
(4) Ni mtu ambae nikiamua langu nimeamua
(5) Mimi ni msiri mnooooo
(6) Ni mtu ambae ni mzito kusema shida yangu niko radhi nife nayo kimiya kimiya
(7) Ni mgumu kusamehe
(8) Mtu anaweza kunikosea na nikakaa kimiya nisimuulize na nisimuoneshe tofauti yoyote
(9) Ni mwepesi kuamini watu
(10) Ni mbishi kidogo
(11) Ni mtu ambae nafwata sana moyo wangu kuliko akili yangu
(12) Ni mtu ambae nikiamua langu lazima nilitimize
(13) Ni mtu ambae napenda sana kusema ukweli mwisho wa siku inaniongezea maadui
(14) Huwa sitabiliki naweza nikawa mpole pia naweza kuwa mkorofi
(15) Napenda kudekezwa
(16) Ni mtu wa kupuuzia vitu
(17) Muda mwingine najiamini kupitiliza
(18) Nikimpenda mtu namuonesha na nikimchukia mtu lazima ajue coz sijui kupretend
(19) Huwa sikubali kushindwa
(20) Nikiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu ambae nampenda huwa nasahau kabisaa marafiki
(21) ... ZINGINE NITAMALIZIA BAADAE ZIMEBAKI NEGATIVE SIDES ZANGU 30.

-instagram @shamsaford

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.