Ray Awashangaa Wanaobeza Ushindi wa Uwoya Huko Tabora - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ray Awashangaa Wanaobeza Ushindi wa Uwoya Huko Tabora

Nimekaa Hapa Ofisini Kwangu Nikitafakari Mengi Sana kuhusu Baadhi Ya Watanzaia Kuwakatisha Tamaa Wasanii Wao Sasa Cjui Ni Roho Mbaya Ama Nini Maaana Leo Irene Uwoya Kashinda Kwenye Viti Maalum Tabora Lkn Coments Zimekuwa Nyingi Sana Kuwa Heti Baba Wa Taifa Nyanyuka Maana Chama Chako Kinaangamia. Hapana Hakuna Sehemu Yotote Inayopinga Mtu Kugombania Ubunge Maaana Ni Haki Ya Kila Mtanzania Mwenye Kukidhi VigezoYa Katiba Ya Nchi Ye2 .
Tuache Roho Mbaya Na Kuwadharau Wasanii Nakuwaona Kama Wa2 Wasiostahili Kuingia Kwenye Siasa Hivi Niulize Swali? Kuna Shule Yoyote Inayofundisha Siasa? Nadhani Kila m2 Atakuwa Na Jibu Lake Kichwani Tumeona Mifano Mingi 2 Kwa Wasanii Waliongia Kwenye Siasa Na wakafanikiwa Ndani Ya Africa Na Nje Ya Africa Marekani. ARNOLD SCHWARZENEGGER GAVANA , DESMOND ELIOT MUIGIZAJI TOKA NIGERIA ALISHIDA PIA UGAVANA, PIA YUPO RICHARD MOFE DAMIJO WENGI WANAMJUA KWA JINA LA PASTOR OKEMY TOKA NIGERIA Pia Ni Gavana Nk. Why Sisi Tusithubutu Wapeni Nguvu Wasanii Wenu Na Kuwatia Moyo Pale Wanapothubutu Kufanya Jambo Lolote. Waswahili Wanasemaje Kulegalega C Kufa Kufa Ni Kuoza Utumbo. Utabaki Kuwa Mtazamo Wangu Over...
Vicent Kigosi ‘Ray’ ‘@raythegreatest’ on instagram
Hongera sana Irene Uwoya, na kila la kheri  kwenye harakati zako.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.