Ray Atoa ya Moyoni Wenzake Kutumika Kwenye Uchaguzi Huu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ray Atoa ya Moyoni Wenzake Kutumika Kwenye Uchaguzi Huu

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi ‘Ray’  afunguka haya kuelekea October 25 siki ya kupiga kura.
 (FREEDOM OF SPEECH)
Kijana mwenye upeo mkubwa na kuona mbali anayetambua matatizo magumu ya chi hii hawezi hakapost ujinga kwa kusema chagua chama flani kwa kufuata mkumbo au kupewa maagizo na watu wenye maslahi yao binafsi.
Kwa kupost kitu ambacho hata akijui na wala yeye mwenyewe hana uhakika wa maisha yake ya baadaye dahaaa ni aibu kubwa sana kaa tafakari usiangalie leo tu anglia kesho yako na vizazi vijavyo.
Naongea hivi maaana nawakumbusha vijana wenzangu tusiwe wajinga wa kufuata mkumbo tuchague viongozi makini watakaowasaidia Wananchi wa Tanzania maaana ukimwona kijana anan'gan'gania gari bovu ambalo alimfikishi sehemu yoyote ujue huyo hana akili timamu mimi ni msanii kazi yangu ni kuwakumbusha watu kwa kuwa naipenda Nchi yangu ya Tanzania.
Waswahili wanasemaje ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.