Q chillah na T.I.D wamaliza tofauti zao, Sasa kutoa Album ya pamoja. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Q chillah na T.I.D wamaliza tofauti zao, Sasa kutoa Album ya pamoja.

Sasa lile bifu kati ya Q Chillah na TID limeisha jana, Hii ni habari njema kwa mashabiki wa Muziki wa Q Chillah na TID ambao walitamba na ngoma iitwayo NILIKATAA ambayo Mr.Blue alishirikishwa.
tid
Katika Kipindi Cha XXLkinachosimamiwa na B Dozen, jana kulikuwa na review ya Album ya Top Band  Q Chillah na TID wamepatana na wana mpango wa kuachia album ya pamoja muda si mrefu. Q Chillah na TID wamethibitisha hakuna tena beef na wako wanaandaa mambo mazuri hivyo mashabiki zao wakae tayari.
-cloudsfm

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.