Picha, Tattoo Mpya Ya Chris Brown Ilivyokera Mashabiki Wake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha, Tattoo Mpya Ya Chris Brown Ilivyokera Mashabiki Wake.

Chris Brown
Rnb super star ambaye hivi karibuni ameongeza mashabiki barani AFrika baada ya kufanya collabo na Wiz Kid, amechora tattoo kubwa kwenye upande wa kulia wa kichwa chake kwa nyuma.
Tattoo hii imegusa na kuker baadhi ya mashabiki wake waliochukulia kitendo hichi kama ja,bo la kijigana hovyo.
Cooment kadha zilisema { utajutia tendo hilo baad aya cocaine uliyotumia kutoka kwenye akili yako } na nyingine ikisema { kweli ukiwa na pesa nyimngi na huna cha kufanya utafanya mambo ya kijinga }.
breezy-tattoo
chris-brown-head-tattoo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.