Picha: Huddah aonesha anapozitolea pesa za kuishi kifahari, apost na picha nyingine ya utata! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Huddah aonesha anapozitolea pesa za kuishi kifahari, apost na picha nyingine ya utata!

Bet Sasa
Huddah ni socialite ambaye anaishi maisha ya kifahari na controversial.
Huddah Range
Maisha ya kifahari, gari la thamani aina ya Range Rover, safari za nje zisizokwisha, kama hivi karibuni alienda kula bata katika kisiwa cha Ibiza huko Hispania, hayo ndio maisha anayoishi socialite wa Kenya, Huddah Monroe.
Lakini swali ambalo wengi huwa wanajiuliza ni biashara gani inayomuingizia pesa za kumpa kiburi mrembo huyo?
Huddah amejibu swali hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram, kwa kupost picha ya shamba lake la ekari 10, na kuandika kuwa kilimo ndio kinachompa pesa za kuishi maisha hayo.
Huddah shamba-2
“My day today , this ain’t for everyone . back to the hustle! This is what I do for a living , this is Where I get my eggs , my bread , my car, my house rent, etc on a 10 acre land ……. #FARMING , #FOODsupplier .I let my hands get dirty so I can chill on a YACHT in Ibiza ️……. #TheyOnlySeeTheShine #TheyDunnoTheStruggle” aliandika kwenye moja ya picha hizo.
Huddah shamba-1
“Good morning , May God bless the work of your hands ………..I woke up in my sponsor coz I’m a MISTRESS of all trades! …..🐓🐄🌲🌳 …… #chickenchaser #MyOffice #Farming #Tomatoes #CattleFarming #Poultry #Cabbages #BWBB”

Katika hatua nyingine Huddah amepost picha yenye utata Instagram:
huddah3
“Picked the best outfit for the POOL PARTY this Saturday the 8th at Best western . What do you guys think ? Should I Add a bikini or not ? #Kidding”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.