PICHA: Diamond Platnumz akiwa na Mtoto wake TIFFAH. Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

PICHA: Diamond Platnumz akiwa na Mtoto wake TIFFAH. Ipo Hapa

Siku ya Jana ilimkuwa ni siku ya Furaha sana kwa familia ya Diamond Platnumz ambapo Zari ambae ni mpenzi wa Diamond alijifungua mtoto wa kike, Mtoto huyu amepata umaarufu sana kwa muda mfupi katika mitandao ya kijamii hasa instagram ambapo mpaka sasa account yake ina jumla ya Followers 40 elfu. Katika account hii ya @princess_Tiffah imepostiwa picha ya kwanza ikimuonyesha Diamond Platnumz akiwa na mtoto wake.
diamond-na-Tiffah
Picha ya kwanza Diamond Platnumz akiwa na Princess_Tiffah
UNAWEZA KUPATA PICHA ZA MTOTO TIFFAH KWENYE PAGE MAALUMU YA MASHABIKI FACEBOOK KWA KUBOFYA>> HAPA

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

1 comment

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.